У нас вы можете посмотреть бесплатно DC KAGANDA APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI HIFADHINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emanuela Kaganda, amempiga marufuku mchimbaji wa madini, Juliana Lorry, kuendelea na shughuli za uchimbaji ndani ya eneo la Hifadhi ya Taifa ya Tarangire, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni kinyume cha sheria. Agizo hilo limetolewa baada ya uongozi wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire kufika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kulalamikia uwepo wa shughuli za uchimbaji ndani ya mipaka ya hifadhi ambapo mkuu wa Hifadhi hiyo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi SAC Beatrice Kessy, amesema wamebaini kuwa eneo linalochimbwa ni sehemu ya hifadhi kisheria. Kwa mujibu wa Ezekiel Davidi, Mwandisi Migodi kutoka Ofisi ya Madini Wilaya ya Babati, mtu yeyote anayetarajia kufanya shughuli za uchimbaji lazima awe na kibali halali kutoka kwa mmiliki wa eneo husika. Mkuu wa Wilaya ya Babati Emanuela kaganda alipofika katika eneo Hilo kutatua mgogoro HUO kati ya hifadhi na mwekezaji huyo akatoa maagizo kwa mchimbaji huyo kutuendelea na shuhuli ya uchimbaji.