У нас вы можете посмотреть бесплатно BREAKING: Rais Magufuli Atembelea Chuo cha Mkwawa, Iringa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BREAKING: Rais Magufuli Atembelea Chuo cha Mkwawa, Iringa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Mei 2, 2018, ametembelea chuo cha Mkwawa kilichopo mkoani Iringa. Baada ya kuwasili katika chuo hicho, Rais Magufuli, akatoa fursa kwa wanafunzi wa chuo hicho kujitokeza na kuelezea changamoto wanazokumbana nazo. Ambapo baadhi ya wanafunzi waliziwasilisha changamoto hizo ambazo kwa asilimia kubwa ziliegemea kwenye suala la mikopo. Katika ziara yake hiyo, Rais Magufuli ameambatana na Mkewe, Mama Janeth, Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza. lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .