У нас вы можете посмотреть бесплатно Rems - Basi ( Official Audio ) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Catch up with Rems on Intagram : https://www.instagram.com/issrems?igs... Tiktok : https://www.tiktok.com/@issrems?_r=1&... Ooooo Mmm Laala laala laa Ooooo Aaa aaa aaah Aa mmh Mangapi tulifanya pamoja Kila sehemu nilikufanyia ukole Kumbe ndio fadhila za mja Mwisho wake najiambia pole Dhamira ya kwako na ya kwangu Haikufikiana ukatia udole Labda haikupangwa kuwa kwangu Hatima yangu nisijichoree Mi naona Mungu angesimamia Mtoto wa watu nitajajifia Siyawezi machungu Siyawezi machungu Kama nafsi ameidhulumia Mwili wangu ni mashuhudia Kagawanya mafungu Kagawanya mafungu Leo kalichimba kaburi kwa mikono mwenyewe Washashindwa waganga msaada ni yeye Kama vita mi mbwa yeye baki ni mwewe Sitabishia uamuzi nibaki nielewe Subira ikavunja kamati tumeshindwa kuelewana Bila bila kuezeka mabati hata boma hakuna Eti hasira kushikika hutaki ukaniachiaga na laana Hii zote hila kupunguza hutaki Na mimi sitaki Wewe basi nenda Basi basi Si umeniacha mwenyewe Basi basi Ooo Nimekubaliana na wewe Basi basi Ooo We basi basi Basi basi Yeeeh Ama kosa langu kuamini milele yani changama hutoyachomoa Leo mwiba umekazia Ama kazi yangu ya pepo ya dhati Ya mola alionipea leo shetani amevamia Penzi umeniekea tanuri Ndio unaniunguza mama Bora ungeniacha tu kwa uzuri Nisingejiuguza wala Tena huku hesabu mazuri Ukayapuuza sana We kumi na yangu sifuri Bado umeifuta yalaa Subira ikavunja kamati tumeshindwa kuelewana Bila bila kuezeka mabati hata boma hakuna Eti hasira kushikika hutaki ukaniachiaga na laana Hii zote hila kupunguza hutaki Na mimi sitaki Wewe basi nenda Basi basi Si umeniacha mwenyewe Basi basi Ooo Nimekubaliana na wewe Basi basi Ooo We basi basi Basi basi Yeeeh #baibuda #bongofleva #rems #afrosound #afrobeat #hitsong