У нас вы можете посмотреть бесплатно JPM AMPANGIA KITUO KIPYA CHA KAZI MKURUGENZI WA JIJI LA DSM, JAFO AMKABIDHI MEYA WA JIJI GARI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amempangia kazi Bi.Sipora Liana kuwa mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni kuanzia leo 25.02.2021 Taarifa iliyotolewa na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo inasemaBi. Sipora amepangiwa majikumu hayo baada lililokuwa Jiji la Dar Es Salaam kuvujwa jana taerhe 24.02.2021 Waziri Jafo amesema utaratibu wa kuwahamisha kazi waliokuwa wafanyakazi wa Jiji katika vituo vingine utaendelea Aidha Waziri Jafo amemkabidhi mstahiki Meya wa jiji la Dar Es Salaam Omary Kumbilamoto(aliyekuwa Mstahiki Meya wa Ilala) gari lililokuwa likitumiwa na Mstahiki Meya wa Jiji lililovunjwa la Dar Es Salaam