У нас вы можете посмотреть бесплатно SANGA ALIA NA BARABARA MAKETE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa jimbo la Makete mkoani Njombe, -Festo Sanga ametumia takribani dakika saba kuchangia bajeti ya wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022, huku kilio chake kikubwa kikiwa barabara za jimbo hilo na mkoa mzima wa Njombe. "Hatma ya heshima waliyonayo Wabunge na Mawaziri ni kazi na sio suti walizovaa, bajeti itekelezwe kama ilivyopangwa isiishie kwenye karatasi", amesisitiza Mbunge huyo wa Makete. Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: / tbconlinetz Instagram: / tbc_online Facebook: / tbconlinetz