У нас вы можете посмотреть бесплатно JESHI LA POLISI LIMEFANIKIWA KUMKAMATA FUNDI GEREJI KWA KUIBA GARI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limefanikiwa kukamata gari lililoibwa aina ya Mitsubishi Outlander pamoja na mtuhumiwa mmoja, ambaye alikutwa akiwa na bastola ya kutengeneza kienyeji, baada ya kufanya msako mkali wa kuwatafuta watuhumiwa wa tukio hilo. Tukio hilo linahusiana na wizi wa gari uliotokea tarehe 16 Desemba 2025, majira ya saa 6:00 usiku, katika Mtaa wa Uwanjani, Tarafa ya Tunduma, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe. Gari hilo aina ya Mitsubishi Outlander lenye namba za usajili T.897 EAC, namba ya chasis CW5W0008014 na namba ya injini 4B12AA5184, lenye thamani ya Shilingi 20,000,000/=, ni mali ya Jovin Kafana (37), mfanyabiashara (Agent), mkazi wa Tazara, Mji wa Tunduma, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe. Jeshi la Polisi limesema gari hilo liliibwa baada ya kuvamiwa na majambazi waliomtishia mmiliki wake kwa kutumia bastola ya kutengeneza kienyeji. Baada ya tukio hilo, Polisi walianza mara moja jitihada za kuwatafuta watuhumiwa husika.