У нас вы можете посмотреть бесплатно MSUKUMA NA CHACHA WAMBURA WAREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE GEITA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Msukuma pamoja na Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM ya Taifa Chacha Wambura ambaye pia anagombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Geita Mjini wamerudisha fomu za kugombea nafasi za uwakilishi katika Majimbo yao huku wakiuachia utaratibu chama cha Mapinduzi. Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wagombea hao baada ya kukabidhi fomu hizo akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mh Msukuma ameendelea kuwakumbusha wale wote wanaondelea kujitokeza kuwa ubunge sio sehemu ya kupata kipato cha fedha bali ubunge ni sehemu ya kuwatumikia wananchi wa jimbo husika.