У нас вы можете посмотреть бесплатно Neema Gospel Choir - Umeinuliwa (Live Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Umeinuliwa – Neema Gospel Choir (Official Video) Karibu ushiriki nasi katika ibada ya kipekee kupitia UMEINULIWA, medley ya nyimbo za sifa na kuabudu zenye ujumbe wa kuinua, kumtukuza na kumkiri Mungu kuwa peke yake ni Mtakatifu, Mwenye Enzi, Mponyaji na wa Ajabu. 💫 “Hakuna kama Wewe, BWANA – Umeinuliwa juu!” Wimbo huu umetungwa kwa moyo wa ibada na shukrani kwa Mungu wetu ambaye ametukuka juu ya mataifa yote. Mataifa yatetemeka mbele zake, hakuna awezaye kulinganishwa Naye. 🔔 Subscribe kwa chaneli yetu ili upokee nyimbo zaidi za kiroho, sifa na maombi. 📌 Sikiliza kwenye majukwaa yote ya kidigitali – Spotify, Apple Music, Boomplay, na nyinginezo! ______ Songwriter & Composer: John Lisu, Godwin Mlambo & Fredrick Japhet (Masanja) Leader: Willbert Baraka #neemagospelchoir #gospel #umeinuliwa —— 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦: Instagram: / neemagospelchoirtz Facebook: / neemagospel X: https://x.com/NeemaGospelChor/ Threads: https://www.threads.net/@neemagospelc... Tiktok: / neemagospelchoir 𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬: Whatsapp: +255 766 777 288 Email: [email protected] Website: www.neemagospelchoir.org ©️2024