У нас вы можете посмотреть бесплатно MAHALI ULIPO UMEWEKWA NA MUNGU ILI UFALME WA MUNGU UJE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SEMINA YA NENO LA MUNGU MAPELELE, ILEMI MBEYA UWEZO WA MWANAMKE SOMO:MAHALI ULIPO UMEWEKWA NA MUNGU ILI UFALME WA MUNGU UJE Huduma ya UWEZO WA MWANAMKE ikiongozwa na Mbeba maono Mwalimu Betty Zanny inapatikana Tabata Segerea, Dar es salaam. Huduma hii inasimamia neno kutoka kitabu cha Tito 2:3-5 Ikiwa na Lengo na Kauli mbiu ya "KUMTIA MWANAMKE AKILI, ILI NENO LA KRISTO LISITUKANWE" Kwenye channel hii utapata mafundisho ya Neno la Mungu yatakayo kujenga wewe kama mwanamke kwenye ndoa yako, au binti kwenye nafasi uliyonayo. Mafundisho haya yanarekodiwa kutoka sehemu mbali mbali ambapo huduma hii ya Uwezo wa Mwanamke inafanya semina katika mikoa mbali mbali nchini Tanzania. MAWASILIANO; Tuma ujumbe wa kawaida au tuandikie message kupitia whatsapp endapo una ushuhuda au maombi kutokana na masomo tunayoendelea kufundisha kupitia channel hii. Namba ya simu ni +255 769 556 663 #uwezowamwanamke #uwezo wa mwanamke #NenolaMungu #nguvuyamwanamke