У нас вы можете посмотреть бесплатно HIZI HAPA CHANGAMOTO ZINAZOITESA HIFADHI YA NGORONGORO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwenyekiti wa Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, Jaji Gerald Ndika, amesema kuna changamoto nane zinazoathiri mfumo wa matumizi mseto ya ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro. Amesema endapo changamoto hizo hazitapatiwa ufumbuzi, shinikizo la matumizi ya ardhi ndani ya hifadhi hiyo halitakuwa himilivu na linaweza kuathiri uendelevu wake. Akizungumza leo Alhamisi, Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, alipokuwa akikabidhi ripoti ya Tume hiyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan, Ndika amesema moja ya changamoto kubwa ni kuongezeka kwa mahitaji ya maendeleo ya jamii ndani ya hifadhi.