У нас вы можете посмотреть бесплатно Kundi la Uhalifu la Gaza kero Katika sehemu ya Kayole или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wamekuwa wakihangaisha watu kwa muda sasa, wakitumia bunduki na visu kama silaha. Kundi la Uhalifu la Gaza sasa limekuwa kero hata kwa maafisa wa usalama. Vijana hao wenye umri wa miaka kumi na mitano hadi ishirini wanadaiwa kufanya mikutano Katika sehemu ya Kayole na hata kukodishwa na baadhi ya wanasiasa kuzua vurugu katika mikutano mbali mbali hapa mjini. Mwanahabari wetu Steve Juma alizungumuza na mmoja wa maafisa wa polisi ambae amekabiliana na wahalifu hao kwa muda na hata kupigwa risasi na vijana hao. Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush