У нас вы можете посмотреть бесплатно MADAI MAZITO Ya WAAFRIKA Kwa WAKOLONI Yanayofichwa! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MADAI MAZITO Ya WAAFRIKA Kwa WAKOLONI Yanayofichwa! Huyu hapa Prince Katega tena! Sasa hivi amekuja na hoja ya fidia! Anasema wazungu lazima washitakiwe, wametutesa kwa muda mrefu, walitutoa Afrika na kutupeleka kujenga uchumi wao bila faida, maendeleo makubwa waliyonayo yametoka Afrika, teknolojia kubwa waliyonayo imetoka Afrika, tuwashitaki kwa kutuletea elimu ya vyeti tukaua elimu yetu ya maarifa, walitupeleka vitani kupigania amani yao bila ridhaa yetu, walimuita Mungu wetu mshenzi na kusema tulitokana na Sokwe, dawa zetu za asili wakaziita ushirikina, majina yetu wakayaita mikosi, vyakula vyetu takataka, rangi zetu uchafu na ustaarabu wetu ushamba, watulipe fidia kwa dhahabu, almas, wanyama, magogo na meno ya tembo waliyotuibia Afrika na kutuletea shanga za kiunoni, ukimwi, ebola, ushoga, vimbunga, mafuriko, kansa na silaha tukauana sisi kwa sisi! Katega anasema kama unadhani anatania subiri sasa uone. Anasema yeye, mshikaji wake Dr. Mkiza na wanadiaspora kibao wanajua namna ya kuwabana mbavu wazungu, hawachomoki. Kikubwa ni Afrika yote tuwaunge mkono kwa hali na mali, maana tukilipwa tutasahau kelele za kodi, ada wala bili za maji, afya na umeme. Nadhani unajua presha za kuchelewa kulipa kodi ya nyumba, unaweza kupangiwa muda wa kurudi kwako ili tu kumkwepa mwenye nyumba. Sasa Katega anasema tukilipwa fidia haya yataisha. Huyo ndo Katega mwana wa mfalme wa wahaya wa Kyamtwala Kingdom wa huko Bukoba! Unahitaji utulivu wa akili na roho kumuelewa maana anaongea vilivyopo kana kwamba havikuwepo, anavipa thamani vinalivyodhalaulika na kuvipa maana visivyokuwa na maana! #madaiyamwafrika #simulizizaAnaniasedgar https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho