У нас вы можете посмотреть бесплатно KAMATI YA SIASA YA RUNGWE IMEKAGUA MRADI WA KITUO CHA AFYA CHA NKUNGA IMERIDHIKA MATUMIZI YA FEDHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
kamati ya Siasa ya wilaya Ya Rungwe ya Chama cha Mapinduzi ikiongonzwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rungwe Ndg Meckon Mosses Mwakipunga wamelizishwa na Ujenzi wa Kituo cha Afya kinachoendelea na ujenzi wa Majengo Mengine hata hivyo mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rungwe ameridhishwa na ujenzi unao endelea katika eneo hilo pia amempongeza Mh.Rais SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajiri ya ujenzi wa kituo hicho pia Kamati ya Siasa WIlaya ya Rungwe imempongeza Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Jaffar Haniu pamoja na watalaamu kwa kusimamia ujenzi wa kituo hicho . ameongeza kwa kumshukuru mbunge wa jimbo la Rungwe kwa kutoa vifaa mbalimbali ambavyo vimesaidia ujenzi wa kituo hiko cha afya .