У нас вы можете посмотреть бесплатно MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO (Deliverance) - MWL. ISAAC JAVAN или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maisha unayoishi sasa, ni matokeo ya historia yako. Hakuna leo bila jana, na hakuna kesho bila leo. Chochote kilichotokea jana, kilitengeneza msingi wa maisha yako ya leo. Na chochote kinachotokea leo, kinatengeneza msingi wa maisha yako ya kesho. Katika maombi haya, Mungu anaenda kukufungua kutoka kwenye vifungo vilivyodumu na kukaa maishani mwako kwa muda mrefu. Vifungo hivi, ni vile ambavyo vilianzia tangu siku ya kuzaliwa kwako, kukua kwako, na mpaka leo hii. Haya ni maombi ya kufunguliwa. Kwa hiyo basi, unapofanya maombi haya, hakikisha unaomba kwa sauti, na kwa kumaanisha, na hakika utamuona Mungu akikufungua na kubadilisha maisha yako. Mungu akubariki na kukutunza. Damu ya YESU ikufunike na kukulinda, katika jina la YESU. Amen. Isaac Javan