У нас вы можете посмотреть бесплатно Wakaazi wa Loiyangalani, Turkana waandamana или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jamii zinazoishi karibu na mradi wa kuzalisha kawi ya upepo unaojengwa katika kaunti ya Turkana, zimefanya maandamano kulaani na kulalamikia kile wanachotaja kuwa udhalimu dhidi yao kupitia mpango hafifu wa fidia. Wakiongozwa na makundi yanayopigania haki na usawa kutoka maeneo hayo, waandamanaji hao waliikashifu serikali kwa kutoa fidia ndogo ya shilingi elfu thelathini kwa ardhi iliyotwaliwa kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: / ktnnews Like us on Facebook: / ktnnewskenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.