У нас вы можете посмотреть бесплатно Mambo 5 muhimu pale unapofuga Vifaranga или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, unafuga vifaranga wa kuku na vinakufa au vinakuwa dhaifu? 🤔 Katika video hii nimekushirikisha mambo 5 muhimu sana ambayo kila mfugaji anatakiwa kuyazingatia tangu siku ya kwanza ya kufuga vifaranga. Utajifunza: ✅ Jinsi ya kuweka joto sahihi (brooding) ✅ Umuhimu wa maji safi na kinga ya vifaranga ✅ Chakula sahihi cha kuwafanya vifaranga wakue haraka ✅ Usafi wa banda na namna ya kuzuia magonjwa ✅ Umuhimu wa chanjo na uangalizi wa mapema 📌 Ukizingatia haya mambo 5, utaepuka vifo vya mapema, vifaranga watakuwa na afya njema na faida yako itaongezeka 💰🐔 👉 Subscribe KingoFarm kwa elimu zaidi za 🔹 Tiba za asili kwa kuku 🔹 Mbinu za kuongeza faida 🔹 Ufugaji wa kisasa na wa gharama nafuu 👍 Like | 💬 Comment | 🔔 Washa kengele usikose video mpya #Vifaranga #UfugajiWaKuku #KingoFarm #TibaZaAsili #WafugajiWaKuku #Brooding