У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIANI - NJIWA (OFFICIAL) или скачать в максимальном доступном качестве, которое было загружено на ютуб. Для скачивания выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru
Walichukuwa mawe pembe tatu wakambondabonda,wakumuweka chini nia yao asije kuamka, ila roho ilimdunda njiwa alizama kwa mawazo,alivyo nyepesi mbawa akalala chali hakuamka, Kaelekeza dua lake ,kwa yule asiye mbaguzi,aliye mjua sana kamnusuru tena aka-survive mmm njiwa njiwa kainuka tena ka-fly walio mpiga mawe wanakonda sana wana-die(njiwa kachora) Ingawa nawapenda,nawaenzi wasabahi kama sio mawe yao labda ndoto hii ningelalai Ingawa nawapenda nawenzi wamkue yeiye Nimeshona mbawa zangu nimejifunza tena kupepea. mmmm nejokini miyaku nkawuo ndoto zake wakaanza kukatiza ,plan B walivyo panga wivu kwao rangi ya kipaji, Tena alivyo mtulivu njiwa macho nazo akaanza kulegeza, ujasiri ukamtoka kubadili rangi ikambidi, Lakini akakumbuka kama karma is real,lengo lao siri yao ila dunia hii mviringo mmmm njiwa njiwa kainuka tena ka-fly walio mpiga mawe wanakonda tena wana-die(njiwa kachora) Ingawa nawapenda,nawaenzi wasabahi kama sio mawe yao labda ndoto hii ningelalai Ingawa nawapenda nawenzi wamkue yeiye Nimeshona mbawa zangu nimejifunza tena kupepea. Njiwa njiwa aaa,njiwa njiwa aa ,njiwa aa njiiiwaa Njiwa njiwa aa,njiwa njiwa aa njiwa eee Njiwa kachora