У нас вы можете посмотреть бесплатно Nataka Nitulie - Henrick Mruma (Official Live Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#SeedOfFaith #NatakaNitulie #Nikikuamini #Nikikusubiri #UnipeMajibu Nataka Nitulie ni wimbo wa maombi kwa Mungu, Maombi katika nyakati ambazo tunakuwa na maswali mengi ambayo hatuna majibu yake na tunasubiri mambo ambayo tunayahitaji kwenye maisha huku tukiwa hatujui itatuchukua muda gani hadi tuyapate na kama ni kweli yataleta furaha na upenyo kwenye maisha yetu. Katika wimbo huu tunakiri kumuamini Mungu huku tukitulia na kujua kwamba Yeye ni Mwaminifu na Mkamilifu na atatupa majibu kulingana na muda ambao Anaona kwamba ni sahihi kwetu. Haitajalisha tutasubiri kwa muda gani, Ila kwa kuwa tunamuamini YESU, TUTATULIA. Ungana nami kwenye wimbo huu wa Maisha. ISAYA 40:31 Song writer: Henrick Mruma Music arranger: Victor Sebastian (VICS PLAY) Musicians: BAND OF CHRIST Back Vocals: SEED OF FAITH Sound System: Sound Solution International Sound Engineer: Balisidya Audio Capturing: Sam Mboya Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes) Video Production: SP Visuals Lights: Nyakalo Lights Stage Design: Winfred Palmena Stage Decor: Gatty Events Venue: City Harvest Church Outfits: Dar Suit and Kuya Creations Special Appreciations: Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Dr. Twina Suzzette, Geofrey Rutta and Gideon Mlawa.