У нас вы можете посмотреть бесплатно #TAZAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wafanyabiashara 22 kutoka Ngazija huko visiwani Comoro wamewasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuangalia fursa mbalimbali za kibiashara zilizopo. Visiwa vya Comoro vipo karibu sana na mkoa wa Mtwara na uwepo wa bandari ya Mtwara ni kivutio kikubwa sana kwa wafanyabiashara wa Comoro. Lakini kutokana na kukosekana kwa meli ya uhakika kusafirisha mizigo yao kutokea Mtwara, wamekuwa wakitumia bandari ya Dar es salaam iliyo mbali ukilinganisha na bandari ya Mtwara. Balozi wa Tanzania nchini Comoro Pereire Ame silima alieambatana na wafanyabiashara hao ameeleza kuhuisiana na hasara wanayopata wacomoro kwa bidhaa zao kuharibika njiani zikitumia muda mwingi safarini kutokea huko Dar es salaam. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09