У нас вы можете посмотреть бесплатно TAZAMA ELLY AJOWI ALIVYOSHINDA PIGANO LAKE LA SUPER HEAVYWEIGHT или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Bingwa wa uzani wa Super Heavyweight nchini Kenya bondia Elly Ajowi(aliyevaa samawati) wa klabu ya Kenya Police ‘Chafua Chafua’ alimcharaza vibaya Felix Oyier(aliyevaa nyekundu) wa klabu ya Kisumu na kutwaa ubingwa wa uzani wa Super Heavyweight katika mkondo wa nne wa Ligi Kuu ya Ndondi nchini Kenya iliyofanyika Jumamosi ya Novemba 12, 2022 kwenye ukumbi wa KPA Mbaraki Sports Club, Kaunti ya Mombasa Kenya. Ajowi alitangazwa mshindi baada ya mwamuzi Nelson Otieno aka ‘OJ’ kusimamisha pigano hilo katika raundi ya kwanza kwa minajili ya kumuokoa Oyier ambaye alishindwa kuendelea katika pigano hilo kutokana kupokea ngumi nzito nzito kutoka kwa Ajowi.