У нас вы можете посмотреть бесплатно DODOMA JIJI YATANGAZA TENDA UJENZI WA UWANJA WAO/ UWANJA WA KISASA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DODOMA JIJI YATANGAZA TENDA UJENZI WA UWANJA WAO Halmashauri ya Jiji la Dodoma imetoa eneo kwaajili ya ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa timu hiyo ambapo hivi sasa wametangaza tenda kwa wakandarasi kwaajili ya ujenzi wa Uwanja huo. Ikimbukwe uwanja huu ni tofauti na ule unaojengwa na serikali kwaajili ya mashindano ya Afcon 2027 ambapo uwanja huu utakuwa unamilikiwa na Halmashauri ya jiji la Dodoma ambao ndio wamiliki wa Timu ya Dodoma jiji FC Hayo yamesemwa na Mosses Mpunga ambaye ni Msemaji Wa kikosi cha walima zabibu Dodoma jijj ambapo amesema mwanzo ujenzi wa Uwanja huo ulipaswa kujengwa katika eneo la Mahungu lililopo pembenzoni kidogo mwa jiji hilo lakini baada ya kuona kuna umbali kutoka katikati ya jiji ndipo Halmashauri ikatoa eneo jingine lililopo katikati ya jiji ambapo mpunga amekataa kulitaja mpaka Hapo Taarifa Rasmi itakapo tolewa na Mkurugenzi wa jiji hilo. Mpunga ameendelea kwa kusema kuwa ndani ya miaka mitatu ijayo huwezi kuiringanisha Dodoma jiji na Timu za simba na yanga kutokana na wao watakuwa wanamiliki Uwanja wao tofauti na timu hizo kongwe nchini.