У нас вы можете посмотреть бесплатно Vanessa Mdee - Niroge (Lyric Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Vanessa Mdee presents the lyric video for 'Niroge', directed by Ezra Brown. Download on iTunes: http://smarturl.it/Niroge Download on Mkito: https://mkito.com/song/10265 Download on Amazon: http://smarturl.it/VMnAM Download on Google Play: http://smarturl.it/VMnGG Stream: http://smarturl.it/VMnST © 2016 Mdee Music Check out Vanessa's latest single, 'Cash Madame': http://smarturl.it/CashMadame Follow Vanessa / vanessamdee / vanessamdee / vanessamdee Digital distribution: http://www.africori.com/ Lyrics Verse1: Raha ya nyumba mwanaume. Wacha nikutunze. Nyumba yetu tuipambe. Hapo nyuma tulishindiaga mabwende, Karanga na Makande, Nguru, Ugali dona sembe. Bridge: Usinune kwa maneno ya majirani wanoko. Hawaishi longo longo. Vimaneno kama viroboto. Wanakesha wakiomba unichapege mkongoto. Jamani sielewi. baby you are ... Pre Chorus: Ukimuona Furaha tele moyoni Nikimuona Tabasamu usoni Chorus: Naomba uniroge Naomba uniroge Naomba uniroge Kwani mapenzi matamu. Verse 2: Sikusifii we mwanaume nguzo. Ulishindaga vikwazo. Tangu Mwanzo. Ulipambana na wenye nazo. Ili niwe mali yako Leo, kula vyako. You're my dream, in my life Hata mi moyoni we ndiyo unanifaa. Bridge: Usinune kwa maneno ya majirani wanoko. Hawaishi longo longo. Vimaneno kama viroboto. Wanakesha wakiomba unichapege mkongoto. Jamani sielewi. baby you are ... Pre Chorus: Ukimuona Furaha tele moyoni Nikimuona Tabasamu usoni Chorus: Naomba uniroge Naomba uniroge Naomba uniroge Kwani mapenzi matamu. Bridge 2: To The Left To The Right To The Left To The Right To The Right To The Left Kwani mapenzi matamu Pre Chorus: Ukimuona Furaha tele moyoni Nikimuona Tabasamu usoni Chorus: Naomba uniroge Naomba uniroge Naomba uniroge Kwani mapenzi matamu. Bridge 2: To The Left To The Right To The Left To The Right To The Right To The Left Kwani mapenzi matamu http://vevo.ly/ix2C57