• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Jinsi ya kuanza biashara ya huduma za usafi na mtaji mdogo! скачать в хорошем качестве

Jinsi ya kuanza biashara ya huduma za usafi na mtaji mdogo! Трансляция закончилась 7 месяцев назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Jinsi ya kuanza biashara ya huduma za usafi na mtaji mdogo!
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Jinsi ya kuanza biashara ya huduma za usafi na mtaji mdogo! в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kuanza biashara ya huduma za usafi na mtaji mdogo! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Jinsi ya kuanza biashara ya huduma za usafi na mtaji mdogo! в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Jinsi ya kuanza biashara ya huduma za usafi na mtaji mdogo!

UNAWEZA KUAMINI KAMA NINGEKWAMBIA unaweza kuanzisha biashara ya huduma za usafi na kukupa pesa nyingi kwa kutumia chini ya shilingi MILIONI MOJA? Wengi wanafikiri unahitaji mamilioni na ofisi ya kifahari ili ufanikiwe kuanzisha biashara ya huduma za usafi kwenye ofisi. Huo ni UONGO MTUPU! Imani hii imewavunja moyo maelfu ya watu wenye ndoto, wakisha kujiuliza, “Hizo milioni za kuanzisha biashara ya huduma za usafi nitapata wapi?” LEO, TUNA ACHA HIYO HADITHI! Nataka nikuonyeshe jinsi watu wa kawaida KAMA WEWE wanavyo tumia kile kidogo walicho nacho na kutengeneza faida KUBWA! Kwenye video hii, nitakupa biashara ya huduma za usafi ambayo imethibitishwa kuleta faida kubwa kwa mtaji mdogo. How to start business Channel tunatoa elimu ya kuanzisha na kuendeleza biashara, kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanataka kujiajiri. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara. Pia tunatoa elimu ya hesabu za biashara na uwekezaji katika biashara. Tunafundisha misingi sahihi ya kuanzisha biashara. Tuna eleza jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara. Pia tunafundisha umuhimu wa kuchangua makundi ya wateja. Tuna siitiza umuhimu wa kuwasiliana na wateja mara kwa mara kufahamu changamoto zao na mhitaji yao. Tunafundisha umuhimu wa kutengeneza hesabu za biashara. Hesabu za biashara husaidia kufahamu, kama biashara inapata faida au hasara. How to Start Business Channel inatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television 1. Kupata eBooks za Ujasiriamali, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... 3. Website yetu: www.tanbusiness.co.tz 4. Mitandao yetu ya kijamii: Facebook:   / tanbusiness   Instagram:   / tanbusiness   YouTube:    / alimwambola   #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwambola #tuongeebiashara #ujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

Comments
  • #Jagina  Evelyn Ulanga  alivyojipata na biashara ya usafi. 1 год назад
    #Jagina Evelyn Ulanga alivyojipata na biashara ya usafi.
    Опубликовано: 1 год назад
  • Sheria Talk: Muongozo wote wa jinsi ya kufungua kampuni Tanzania 5 лет назад
    Sheria Talk: Muongozo wote wa jinsi ya kufungua kampuni Tanzania
    Опубликовано: 5 лет назад
  • FAHAMU TARATIBU ZA USAJILI WA KAMPUNI NA FAIDA ZAKE 3 года назад
    FAHAMU TARATIBU ZA USAJILI WA KAMPUNI NA FAIDA ZAKE
    Опубликовано: 3 года назад
  • Kutana na Kijana aliyeuza chips na chapati mpaka kufungua Kampuni ya magari 7 лет назад
    Kutana na Kijana aliyeuza chips na chapati mpaka kufungua Kampuni ya magari
    Опубликовано: 7 лет назад
  • 7 месяцев назад
    "MAISHA NI MTIHANI KILA MTU KAPEWA WAKE - FAULU WAKO." ~ Ipm
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Fahamu biashara za mtaji mdogo zenye faida kubwa: chakula ofisini Трансляция закончилась 7 месяцев назад
    Fahamu biashara za mtaji mdogo zenye faida kubwa: chakula ofisini
    Опубликовано: Трансляция закончилась 7 месяцев назад
  • NAMNA YA KUANZA BIASHARA. Hizi ni hatua ambazo unaweza kuzitumia kuanza biashara. 2 года назад
    NAMNA YA KUANZA BIASHARA. Hizi ni hatua ambazo unaweza kuzitumia kuanza biashara.
    Опубликовано: 2 года назад
  • Fursa ujasiriamali katika usafi Трансляция закончилась 6 лет назад
    Fursa ujasiriamali katika usafi
    Опубликовано: Трансляция закончилась 6 лет назад
  • ⚡️ Крупнейший захват украинских заложников || Колонна танков зашла в регион 2 часа назад
    ⚡️ Крупнейший захват украинских заложников || Колонна танков зашла в регион
    Опубликовано: 2 часа назад
  • Nafanya kazi ya usafi wa aina zote majumbani, hotelini na maofisini - MWANAMKE WA SHOKA  Agnes Kaguo 5 лет назад
    Nafanya kazi ya usafi wa aina zote majumbani, hotelini na maofisini - MWANAMKE WA SHOKA Agnes Kaguo
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Usafi wa nyumba nzima + kunukisha nyumba kwa muda mrefu +kupika chakula. 2 года назад
    Usafi wa nyumba nzima + kunukisha nyumba kwa muda mrefu +kupika chakula.
    Опубликовано: 2 года назад
  • КЛАССИЧЕСКАЯ МУЗЫКА ДЛЯ ВОССТАНОВЛЕНИЯ НЕРВНОЙ СИСТЕМЫ🌿 Нежная музыка успокаивает нервную систему 22 Трансляция закончилась 1 год назад
    КЛАССИЧЕСКАЯ МУЗЫКА ДЛЯ ВОССТАНОВЛЕНИЯ НЕРВНОЙ СИСТЕМЫ🌿 Нежная музыка успокаивает нервную систему 22
    Опубликовано: Трансляция закончилась 1 год назад
  • JINSI YA KUPATA JINA ZURI LA BIASHARA AU KAMPUNI YAKO - Victor Mwambene. 2 года назад
    JINSI YA KUPATA JINA ZURI LA BIASHARA AU KAMPUNI YAKO - Victor Mwambene.
    Опубликовано: 2 года назад
  • Biashara ya Duka la Rejareja: Mtaji kuanzia Laki 2 Tu, Faida Juu Sana! #duka #rejareja #mtajimdogo Трансляция закончилась 13 дней назад
    Biashara ya Duka la Rejareja: Mtaji kuanzia Laki 2 Tu, Faida Juu Sana! #duka #rejareja #mtajimdogo
    Опубликовано: Трансляция закончилась 13 дней назад
  • Namna ya kutengeneza Zaidi ya Million 20, kwenye biashara/Ufugaji wa Mbuzi. 2 года назад
    Namna ya kutengeneza Zaidi ya Million 20, kwenye biashara/Ufugaji wa Mbuzi.
    Опубликовано: 2 года назад
  • Autonomous Transformation: The Strategy Shift for AI | Renegade Marketers Unite #508 12 минут назад
    Autonomous Transformation: The Strategy Shift for AI | Renegade Marketers Unite #508
    Опубликовано: 12 минут назад
  • EA650: Michael Sweebe - Bringing Cost Clarity to Renovation for Owners and Architects 41 минуту назад
    EA650: Michael Sweebe - Bringing Cost Clarity to Renovation for Owners and Architects
    Опубликовано: 41 минуту назад
  • Ep. 325: The Property Tax Traps Costing Investors Thousands, with Jen Richardson 2 дня назад
    Ep. 325: The Property Tax Traps Costing Investors Thousands, with Jen Richardson
    Опубликовано: 2 дня назад
  • Marekani ikichukua udhibiti wa anga la Iran ndani ya wiki, hiki ndicho kitatokea, Masubi afafanua 8 часов назад
    Marekani ikichukua udhibiti wa anga la Iran ndani ya wiki, hiki ndicho kitatokea, Masubi afafanua
    Опубликовано: 8 часов назад
  • Biashara 4 unazoweza kufanya ukiwa muajiriwa. 4 side hustles unazoweza kufanya ukiwa umeajiriwa. 2 года назад
    Biashara 4 unazoweza kufanya ukiwa muajiriwa. 4 side hustles unazoweza kufanya ukiwa umeajiriwa.
    Опубликовано: 2 года назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5