У нас вы можете посмотреть бесплатно WAKULIMA WAYACHACHAFYA MAKAMPUNI YA UNUNUZI WA TUMBAKU, KUELEKEA MASOKO/ LUGHA CHAFU SOKONI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baadhi ya wakulima wa chama cha msingi HEKIMA kata ya ZUGIMLOLE wilaya ya KALIUA mkoani TABORA wamelalamikia tabia ya baadhi ya watumishi wa makampuni ya ununuzi wa tumbaku kutoa lugha chafu wakati wa masoko ya zao hilo ikiwa pamoja na tumbaku kununuliwa kwa bei isiyolidhisha. Akizungumza kwenye kikao hicho mnunuzi wa tumbaku kutoka kampuni ya alliance one, ALLY WAZIRI amewatoa hofu wakulima akisema pamoja na changamoto zilizojitokeza msimu uliopita kampuni imejipanga vyema kuhakikisha msimu huu mkulima anapata haki yake. Kwa upande wake afisa tarafa ya KALIUA, BETHOD MAHENGE amesema kila kundi liwajibike vyema akisisitiza wakulima kufuata misingi ya kilimo cha zao la tumbaku ili kuondoa sintofahamu ambazo zimekuwa zikijitokeza baina ya wakulima na makampuni ya ununuzi wa tumbaku. Nae mwenyekiti wa chama cha msingi HEKIMA, JOSHUA MADUNDA pamoja nakuwasihi wakulima kupeleka mitumba yao kwenye magodauni yaliyotengwa amesema msimu huu chama hakitakubali wakulima kunyanyaswa. Msimu wa masoko ya ununuzi wa tumbaku unatarajiwa kuanza April 28 mwaka huu 2025. #kaliuaonetv @Kiswahili @CLOUDSMEDIA @CrownMediaTZ @Wasafi_Media @tbr24viral @millardayoTZA @kitundatvonline @pauljinery3197 @manaratv__ @SimuliziNaSauti