У нас вы можете посмотреть бесплатно PROFESA RIZIKI SHEMDOE na MENEJIMENTI LUSHOTO WAKUTANA KUJIPANGA KUTEKELEZA MAELEKEZO ya WAZIRI MKUU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
PROFESA RIZIKI SHEMDOE na MENEJIMENTI LUSHOTO WAKUTANA KUJIPANGA KUTEKELEZA MAELEKEZO ya WAZIRI MKUU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amefanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kilicholenga kuweka mkakati wa utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba hususani ya utatuzi wa kero na changamoto za wananchi, aliyoyatoa Februari 17, 2026 wakati wa ziara yake wilayani Lushoto. Katika kikao kazi hicho kilichofanyika Feberuari 18, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, Prof. Shemdoe ameisisitiza Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kuhakikisha inasimamia kikamilifu utatuzi wa kero na changamoto zinazowakabili wananchi kama alivyoelekeza Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx