У нас вы можете посмотреть бесплатно MSAJILI UTIMAMU wa MAHAKAMA -"WENYE KESI MAHAKAMA ya MWANZO HAWAKAI MAHABUSU - WANASIKILIZWA FASTA" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MSAJILI UTIMAMU wa MAHAKAMA -"WENYE KESI MAHAKAMA ya MWANZO HAWAKAI MAHABUSU - WANASIKILIZWA FASTA" Msajili wa Mahakama Nchini Tanzania, Eva Nkya, amesema kuwa mafanikio ya usimamizi bora pamoja na matumizi ya teknolojia ya kidijitali yameleta mabadiliko makubwa katika utendaji wa mahakama nchini, hasa katika kuharakisha usikilizwaji wa mashauri na kupunguza ucheleweshaji. Ameeleza kuwa maboresho hayo yameziwezesha Mahakama ya Mwanzo, Mahakama ya Wilaya, Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani kusimamia mashauri kwa ufanisi zaidi, kwa kutumia mifumo ya kisasa ya usajili, ufuatiliaji na upangaji wa kesi. Kwa mujibu wa Msajili Nkya, katika Mahakama za Mwanzo, kutokana na kasi ya usikilizwaji wa mashauri yaliyopo, hakuna hata mwenye kesi mmoja aliyepo mahabusu, hali inayodhihirisha matokeo chanya ya mageuzi ya kiutendaji na matumizi ya TEHAMA katika utoaji haki. Amesisitiza kuwa Mahakama ya Tanzania itaendelea kuimarisha mifumo hiyo katika ngazi zote ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, kwa uwazi na kwa usawa kwa wananchi wote. ================================================================= https://omg10.com/4/10665735 https://omg10.com/4/10664632 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx