У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Juni 21, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu leo Miongoni mwa yaliyomo kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Juni 21, 2025 | Swahili Habari Podcast Mchana wa leo: -Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi, awasili Istanbul kushiriki mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano wa mataifa ya Kiislamu OIC. -Jeshi la Israel limesema leo kuwa limemuuwa afisa wa ngazi ya juu wa Iran anayesimamia uratibu wa kijeshi wa kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas. -Trump athibitisha uwepo wa mkataba wa amani kati ya Kongo na Rwanda. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast Ukitaka kupata habari zetu kila siku, 😍 bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.