У нас вы можете посмотреть бесплатно SHAFII MOHAMED vs SULEMANI JOSEPH или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ amefanikiwa kumchapa mpinzani wake Ramadhan Migwede kwa KO ya raundi ya saba katika pambano maalum la kiomaonyesho ‘Exibition fight’ lilofanyika juzi Ijumaa usiku kwenye Ukumbi wa Iwawa uliopo Masasi mkoani hapa. Katika pambano hilo ambalo lilikuwa maalum kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa ngumi za kulipwa kuelekea katika pambano la ‘Payback Night’ usiku wa deni ambale litawakutanisha bondia wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ‘JWTZ’ Seleman Kidunda dhidi ya Tshimanga Katompa katika pambano ambalo limepangwa kufanyika Julai 30, mwaka huu kwenye Uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma. Katika pambano hilo ambalo lilikuwa la raundi nane, Dullah Mbabe alifanikiwa kushinda kwa KO katika raundi saba baada kumchapa gumi kali mpinzani wake na kuepelekea kushindwa kuendelea na pambano hilo kutokana mwamuzi wa pambano Mwinyi Mila kumaliza kwa KO baada ya kumhuhesabia hadi kumi. Migwede katika pambano hilo ameweza kuonyesha uwezo mkubwa kiasi cha kupelekea kupata mashabiki wake ambao walionyesha kuvutiwa na kiwango chake kutokana na kumpa wakati mgumu Dullah Mbabe kushinda pambano kabla ya kukubali kupigwa kwa KO. Akizungumza mara baada ya kushinda pambano hilo amewashukuru wadau na mashabiki waliojitoeza kwenye pambano hilo ambalo naamini litaleta chachu ya maendeleo katika mchezo huo akiwataka viongozi wa kujitoa katika kusaidia mchezo huo mkubwa nchini. “Nimekuja Mtwara kuanzia Masasi, Mtwara mjini, pamoja na Tunduru kwa sababu mmoja ya kuhamaisha mchezo wa ngumi za kulipwa lakini kuunga mkono juhudi za promoata Meja Semunyu kuelekea kwenye pambano la usiku wa deni ambale litamkutanisha Seleman Kidunda na Jacob Maganga. “Lakini nichukue nafasi hii kuwaomba viongozi wa hapa Mtwara kusapoti mchezo wa ngumi kwa kuhakikisha kuwa na gym mkubwa ambayo kwa upande wangu nitakuwa tayari kuja kuinua vipaji vya mabondia hapa Masası,” alisema Dullah Mbabe. Kwa upande wa promota wa pambano hilo, Meja Seleman Semunyu amewashukuru wadau wa ngumi wa Masasi kwa kuwaambia kuwa kwa mwaka huu wamejipanga kufanya mapambano mengi kwa mikoa ya kusini huku akisisitiza kuwa uwepo wa pambano ni kuelekea kenye pambano la Payback Night linalotarajia kufanyika Songea Julai 30, mwaka huu. Mabondia wengine walioshinda kwenye pambano hilo ni Baraka Chiukota kwa kumtwanga kwa TKO ya raundi ya kwanza Luis Joseph wakati Shafii Mohamed amefanikiwa kuibuka mshindi kwa kumchapa kwa pointi mpinzani wake Seleman Joseph huku Yusuph Machupa akipoteza mbele ya Shaban Rajab. Kwidison Jamaridini amefanikiwa kushinda kwa TKO ya raundi ya pili dhidi ya Baraka Said wakati Hassan Mgaya akifanikiwa kumchapa kwa pointi Yasin Mbegu. @Bongo Boxing Safari @Bongo Boxing Safari @Bongo Boxing Safari @Bongo Boxing Safari #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE #SHARE ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download BONGO BOXING APP: ⚫️ ANDROID: https://play.google.com/store/apps/de... ⚫️TUNAPATIKANA KUPITIA: https://bongoboxingsafari.co.tz/ ⚫️ OUR SOCIAL NETWORK ⚫️ TWITTER: / media ⚫️ INSTAGRAM: / cvdjrfdkl. . ⚫️FACEBOOK: / bongo-boxing. . ⚫️ WASILIANA NA BONGO BOXING SAFARI ⚫️ Email: [email protected]