У нас вы можете посмотреть бесплатно Je! Kuna fursa kubwa kiasi gani zilizopo katika Creative Design Industry? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Website yetu: https://www.joelmediatz.com/ Creative Industry ni kiwanda kikubwa hasa katika kipindi hiki cha uchumi wa kidigitali, nimezungumza kwa undani juu ya ukweli wa fursa zilizopo katika Industry ya creative design kama upo kwenye Industry au unategemea kuingia katika kiwanda kwa maana unataka kuwa Graphics designer, Filmmaker, videographer, Photographer, web designer, Social media manager nk. basi tazama video hii nnauhakika utakua na cha kujifunza hapa na utaongeza kwa kiasi kikubwa uelewa na kufanya maamuzi sahihi ya nini ufanye na uboreshe au uachane na kazi hii. Dondosha maoni yako katika sehemu ya comment, share na wengine wajifunza, like na Subscribe ili uendelee kujifunza zaidi kupitia chaneli yetu. Premium Courses: https://www.joelmediatz.com/ Follow me on Instagram: / joemediagro. . Facebook https://linktr.ee/joemediagroup_ Twitter: https://linktr.ee/joemediagroup_ Email: [email protected] 0:00 - Logo Reveal 0:04 - Intro 1:35 - Mambo matatu niliyo yagundua 1:54 - Jambo la kwanza 4:26 - Jambo la pili 7:08 - Jambo la tatu 8:59 - Recap 9:29 - End screen