У нас вы можете посмотреть бесплатно ZIARA YA UKAGUZI MIRADI YA KIMKAKATI KISIWANI PEMBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ZIARA YA UKAGUZI MIRADI YA KIMKAKATI KISIWANI PEMBA Uongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) pamoja na Bodi ya Wakurugenzi, wakiungana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (ZURA), wamefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya kimkakati ya ZPC kisiwani Pemba. Safari hiyo ilianza katika Bandari ya Wesha (Chake Chake) kwa ukaguzi wa Mradi wa Bohari ya Mafuta utakao kuwa na uwezo wa kuhifadhi hadi Lita Millioni nane 8 za mafuta- mara Nne 4 ya uwezo ya bohari iliyopo sasa kisiwani pemba. Ziara iliendelea katika Bandari ya Mizigo na Abiria ya Shumba Mjini (Micheweni), na hatimaye kumalizikia katika Bandari ya Mkoani. Katika Bandari ya Mkoani, viongozi walikagua hatua za maboresho makubwa yanayoendelea, yakiwemo: Ujenzi wa daraja la kupitia abiria (budge boarding bridge). Ujenzi wa jengo jipya la abiria la kisasa. Upanuzi wa Bandari Kavu (ICD) kwa ajili ya kujenga jengo la ukaguzi wa mizigo pamoja na ofisi za wadau wa bandari.