У нас вы можете посмотреть бесплатно WASIMAMIZI WA MRADI, WAKAMATWA NA POLISI "WAKAMATE WOTE" - JUMA AWESO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WASIMAMIZI WA MRADI, WAKAMATWA NA POLISI "WAKAMATE WOTE" - JUMA AWESO Naibu waziri wa Maji Jumaa Aweso,ameagiza kukamatwa kwa Msimamizi wa Mradi wa Maji Shimbi Mashariki,uliopo Wilaya ya Rombo, Godson Josea,pamoja na Mhandisi wa Mradi huo Thomas Amos,ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya HecoSan Mark. Ametoa agizo hilo leo baada ya kutembelea mradi huo,na kushuhudia ukiwa umesimama,huku wananchi wakilalamikia upatikanaji wa huduma hiyo. #Rombo UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW:https://www.youtube.com/playlist?li