У нас вы можете посмотреть бесплатно Part 2 : YALIYOJIRI ENGARUKA CHINI, WANANCHI WALIA NA UKOSEFU WA MAJI NA MATIBABU. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HII NI SEHEMU YA PILI YA TAARIFA HII KUTOKEA ENGARUKA . KAMA UTAKUMBUKA OLDONYO MEDIA ILIIBUA TAARIFA YA WANANCHI WA KIJIJI CHA ENGARUKA CHINI KUDAI KUMKATAA MWENYEKITI WAO KWA TUHUMA ZA KUUZA ARDHI YA AKIBA. BAADA YA MALALAMIKO HAYO MWENYEKITI ALIITISHA MKUTANO MKUU KUWAELEZA WANANCHI UKWELI ULIOPO NA KUDAI HAKUNA ARDHI YOYOTE ILIYOUZWA ZAIDI YA KUEKEZA . MWISHONI MWA WIKI ILIYOPITA BAADHI YA WANANCHI HASA WAMAMA WAKIWEMO BAADHI YAO WALIOLALAMIKA WAMEFUNGA SAFARI HADI NYUMBANI KWA MWENYEKITI WA KIJIJI HICHO KWA KILE WALICHOKIDAI KUMUOMBA MSAMAHA KWA KUMZALILISHA NA UONGO WA KUUZA ARDHI YAO. LAKINI CHA KUCHANGAZA ZAIDI NI BAADHI YA WANANCHI HAO KUSEMA NDAMA WALIOMPELEKEA MWENYEKITI PAMOJA NA MSAMAHA NI NJIA MOJA WAPO WA KUMUOMBA KUSHUGHULIKA NA CHANGAMOTO ZAO KAMA UKOSEFU WA HUDUMA ZA AFYA PAMOJA NA MAJI.