У нас вы можете посмотреть бесплатно EP2: Kipaji Changu:Jinsi Sauti za Jomvu Kuza vijana CBO Zinabadili Afya ya Jamii: Part 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Simulizi za kina ni makala maalumu katika podcast ya #Bonganaone2one ambapo tunangazia vikundi vya kijamii katika mkoa wa pwani, vinavyo ongozwa na vijana .Leo tunangazia na kusema na kikundi cha Jomvu Kuza Vijana, kinachotumia nguvu ya sanaa kama daraja la kuelimisha jamii kuhusu masuala ya afya. Kipindi hiki ni maalum zaidi kwani kinamulika ushujaa wa vijana wanaotoka kwenye vituo vya malezi mbadala (Young Care Leavers), ambao sasa sasa wameungana si tu kujieleza, bali kuwa sauti ya mabadiliko kwa jamii inayowazunguka kupitia vipaji vyao. #elimu #afyayaakili #kenya #pwani