У нас вы можете посмотреть бесплатно Fredrick Mulla - Kutoswa (Official Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Oya hadithi hadithi uongo njo utamu kolea Ila kwanza ngojea Acha niwape story kilichonitokea Sio kila dem mwanangu ni waku mshobokea So juzi niko zangu batani wazee Na michuzi natafuta company wazee Mr Chuzi nikaokota mchumba Nyuma anajumba nikaona hii dhahabu mazee Unaitwa nani? mrembo Akacheka kidogo, naitwa Ashura Swalehe Unaitwa nani handsome? Nikaleta mikogo, niite Prince wa Starehe Unamjua Dully, Mr Misifa? Ndio namjua Mi ndo hizo sifa per se Unakunywa soda ama Bia? BIA Waiter, mletee liquor aisee Verse 2 Kumbe dem ashanisoma mi napenda sifa Na mi kichwani nishamchora nikimshika Nitatumia vidole vingi ka nacheza FIFA Nimtampelekea moto mpaka awashe shisha Kwenye mfuko nilikuwa ka na kilo mbili Mtu wa jiko choma nyama kama ya kilo mbili Weka nyama mtoto shibe Maana badae nina kazi ya kumla mwili Nyama ikaliwa afu ikaja bili Nikatoa pesa bila kujadili Kila kitu kilikuwa kama 62 Nikatoa 64 niliongeza mbili Akaniachia pochi ili nimsubiri Leo namaliza mchezo kwa Bia mbili Ilikuwa kaa saa sita, sa massa mawili Nikasubiria mzigo mpaka alfajir Na hakutokea wallahi