У нас вы можете посмотреть бесплатно CHEKECHE | Je, amani inayosakwa Ukraine ina dalili ya kupatikana? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hivi karibuni viongozi wa Umoja wa Ulaya pamoja na Marekani wamefanya mikutano kujadili namna ya kuvimaliza vita vinavyoendelea kati ya Ukraine na Urusi vilivyodumu kwa takribani miaka mitatu na nusu hadi sasa. Wakati huo huo, Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema atakubali kusitisha vita hivyo endapo nchi za Magharibi zitaheshimu maslahi yake. Swali kubwa linabaki ; Je, amani inayosakwa Ukraine ina dalili ya kupatikana? Ungana na Mchambuzi wa siasa za kimataifa, Abdulaziz Jaad akieleza kwa kina mada hii. #AzamTVUpdates