У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMA AJIFUNGUA WATOTO WATATU KATIKA HALI NGUMU KIONGOZI WA WANAWAKE WA KI'ISLAM AFIKA KUMFARIJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kiongozi wa Wanawake wa Kiislam nchini Burundi, Hadjat Jeanne, amemtembelea mama mdogo aliyejifungua watoto watatu kwa wakati mmoja, katika hali inayogusa moyo. Katika ziara hiyo, Hadjat Jeanne alimfariji mama huyo na kutoa msaada wa baadhi ya mahitaji kwa ajili ya kuwalea watoto hao wachanga. Familia hiyo inapitia changamoto kubwa, kwani mmoja wa watoto hao ana tatizo la mshipa na anahitaji matibabu maalum. Pamoja na hayo, hali ya maisha ya familia hiyo si rahisi, ambapo kwa sasa watoto hao hutumia kopo moja la maziwa kwa muda wa siku tatu. Ziara hiyo imekuwa ishara ya huruma, mshikamano na kusaidiana katika jamii, hasa katika kuwasaidia wale wanaopitia changamoto za maisha. Tazama video hii ujue zaidi kuhusu tukio hili na namna msaada huo ulivyotolewa. #Msaada #Huruma #Umoja #Burundi #Jamii#kishkitv #alhajartv#kenya