У нас вы можете посмотреть бесплатно CHEKECHE | Kipi kitainusuru Mashariki ya Kati? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Zilianza saa 24 za mashambulizi, lakini sasa zimepita wiki mbili bila dalili ya kusitishwa kwa vita kati ya Iran na Israel, huku eneo la Mashariki ya Kati kwa ujumla likiendelea kushuhudia mvutano na kauli kali kutoka kwa viongozi wa pande zote. Msimamo wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ni kudhamiria kuuondoa madarakani utawala wa viongozi wa kidini wa Iran; wakati Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, Mojtaba Khamenei, akiwataka majirani wa nchi yake kufunga kambi za kijeshi za Marekani. Dunia sasa ipo njia panda kutokana na hali hiyo inayoendelea. Katikati ya mzozo huu unaozua taharuki kwa mataifa mengi, swali linalobaki ni: ni nini kitakachoinusuru Mashariki ya Kati? #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi