У нас вы можете посмотреть бесплатно TAZAMA BUBA JAMMEH ANAVYOTESTI BALAA LAKE LA KUWAPELEKEA MOTO WAARABU YANGA IKIPIGA TIZI LA MWISHO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho yakimhusisha pia winga mpya, Buba Jammeh, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, ikijiandaa kuikaribisha JS Kabylie ya Algeria kesho Februari 15, 2026, katika mechi ya mwisho Kundi B itakayotoa hatima ya timu itakayofuzu hatua inayofuata ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) msimu wa 2025/26. Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe, amesema wapinzani wao hawataacha kuona rangi yoyote, kwani wachezaji wamewekewa motisha ya bonasi nono endapo watafanikiwa kuipeleka timu hiyo hatua ya robo fainali ya mashindano hayo. Kwa sasa msimamo wa Kundi B unaongozwa na Al Ahly SC yenye pointi 9, ikifuatiwa na AS FAR Rabat (8), kisha Yanga (5), huku JS Kabylie ikishika mkia kwa pointi 3. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj