У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI WA FEDHA AAHIDI USHIRIKIANO KUFIKIA MALENGO YA KUKUZA UCHUMI WA NCHI NA MAENDELEO YA JAMII или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Wizara ya Fedha imebeba matumaini ya Serikali na Wananchi katika kuhakikisha kuwa inatafuta fedha za kuendeleza ujenzi wa miradi ya maendeleo itakayochochea ukuaji wa uchumi na maendeleo ya wananchi. Mhe. Balozi Omar, amesema hayo katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi za Wizara ya Fedha (Treasury Square), jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na Menejimenti na Wafanyakazi wa Wizara hiyo, baada ya kuwasili katika Ofisi hizo akiambatana na Naibu Mawaziri wake wawili, Mhe. Mshamu Ali Munde na Mhe. Laurent Deogratius Luswetula.