• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

#FAHAMU скачать в хорошем качестве

#FAHAMU 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
#FAHAMU
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: #FAHAMU в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно #FAHAMU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон #FAHAMU в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



#FAHAMU

IMEANDIKWA NA ALBANO MIDELO Ngoro:mfumo wa kilimo unaohifadhi mazingira uliogundulika Mbinga miaka 300 iliyopita Ngoro ni aina ya kilimo kinachohifadhi mazingira kwa njia ya asili ambacho kinaaminika kilianza kutumika na wakulima wa kabila la wamatengo Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma zaidi ya miaka 300 iliyopita. Kilimo cha ngoro kilianzishwa na wazee maarufu wa kabila la wamatengo waliotokea nchini Malawi katika karne ya 17 ambapo tayari vizazi zaidi ya 10 vimepita hivi sasa tangu kilimo cha ngoro kilipoanzishwa katika wilaya ya Mbinga. Ngwatura Ndunguru Mbunge Mstaafu wa Mbinga anataja moja ya madhumuni ya kuanzisha kilimo hiki ni kuudhibiti udongo wa juu wa ardhi ambao kwa kawaida huondolewa na maji au upepo kutokana na mmomonyoko wa ardhi ya juu ambayo ina rutuba nyingi ya kuifanya mimea iweze kustawi vizuri na hatimaye kutoa mavuno mengi na bora. ‘‘Tunajua kuwa udongo ulio chini ya tabaka la juu hauna rutuba ya kutosha ya kuwezesha mazao kustawi vizuri, Kutoweka kwa udongo wa juu toka shambani au bustani kwa njia ya mmomonyoko ni hasara kubwa ,kwa vile kunasababisha upungufu wa mavuno’’,anasisitiza Ndunguru ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa Wizara ya Maliasili na Utalii. Anazitaja njia za kuhifadhi ardhi zinaweza kutumiwa kwa kutegemea hali ya hewa, mazingira ya eneo kama ni maeneo ya mwinuko au tambarare. Hata hivyo zinaweza kutumika njia mbili au tatu katika shamba moja.Ziko njia kuu mbili za kuhifadhi ardhi ambazo ni njia za asili au za kienyeji na njia ya kisasa ambazo zimefanyiwa utafiti wa kina na wataalam. Wataalam wakongwe kama akina Bike mwaka 1938, Stenhouse mwaka 1994, Temu na Bisanda mwaka 1966 wanaeleza kuwa Wamatengo walilazimika kutumia kilimo cha ngoro ili kuhifadhi udongo mzuri uliopo katika miteremko hiyo. Katika mashimo ya ngoro hupandwa mazao kama maharage,mahindi na ngano kwenye kingo za mashimo hayo. Mkulima hufyeka shamba lake na kuzipanga nyasi zilizokatwa kwenye mashimo ya ngoro. Mkulima akipindua udongo wa chini kuwa juu hukata nyasi na kwamba udongo wenye rutuba hugeuka kuwa mboji na rutuba huongezeka.Maji ya mvua yakisimama katika mashimo ya ngoro hulinda unyevu wa ardhi na kukinga mmomonyoko wa ardhi. Inaaminika kuwa kilimo cha ngoro ambacho tunaweza kukiita draft agriculture kinahusishwa na shughuli za kuwepo kwa mapango ya kuishi.Historia ya Wilaya ya Mbinga inaonesha kuwa,hapo zamani wananchi wa Wilaya ya Mbinga walikuwa na tabia ya kufanya kilimo cha kuhamahama. Kutokana na kuwepo kwa mapango, wazee hao wa kabila la wamatengo waliamua kuanzisha kilimo cha kulima na kufukia majani ili kupata mbolea ya asili hivyo kuendesha kilimo walichokiita ngoro katika sehemu moja bila kuhama huku wakirutubisha ardhi na kuzuia mmomonyoko wa udongo kutokana na ardhi ya Mbinga kuwa na milima yenye miteremko mikali. Mbunge mstaafu wa Mbinga Ngwatura Ndunguru anasisitiza kuwa wamatengo tangu wameanza kutumia kilimo cha ngoro miaka 300 iliyopita hadi sasa wamekuwa wanazalisha vyakula kwa wingi na kuhifadhi mazingira kwa njia ya asili kwa kuzuia mmomonyoko wa udongo kutokea kwenye miteremko ya milima ya umatengo wilayani humo. Anabainisha zaidi kuwa katika kilimo cha ngoro mvua zinaponyesha maji huingia kwenye mmea na majani yaliyowekwa chini yanaoza ambapo katika msimu mwingine majani yaliota kwenye shimo yatafyekwa,mazao yaliosalia yanavunwa na kutandazwa kwenye shimo na kufukuliwa majani ya mwaka jana ambayo tayari yanakuwa mboji. John Mbunda (80) mkazi wa kijiji cha Kilanga Juu wilayani Mbinga anasema wamatengo walianzisha mfumo maalum wa kilimo cha ngoro uliyowasaidia uliyojulikana kwa kabila la wamatengo kwa jina la Ingoro. Anasema mfumo huo uliwawezesha kuendelea kulima kwenye maporomoko ya milima bila ya kusababisha mmomonyoko wa udongo au kuathiri vibaya rutuba kwenye mashamba yao. Alex Ndunguru mkazi wa Kijiji cha Ilela anasema wenyeji wa Mbinga walilazimika kubuni kilimo cha ‘ngoro ili kuhifadhi udongo mzuri ulio katika miteremko ya Umatengo na kwamba ngoro ndiyo mkombozi katika kilimo kwa kuwa kilimo kimekuwa endelevu badala ya mfumo wa zamani ambao wamatengo walifanya kilimo cha kuhamahama. Utafiti umeonesha wazi kwamba teknolojia ya ngoro ni bora zaidi katika kilimo,ambapo wakulima kutoka maeneo mbalimbali nchini wamekuwa wakifika katika Wilaya ya Mbinga kujionea wenyewe na kujifunza teknolojia hiyo inayohifadhi ardhi na kutunza mazingira kwa muda mrefu. Moja ya faida ya kilimo cha ngoro ni kwamba hata kama mvua hazitanyesha,bado shamba litaendelea kuwa na unyevunyevu kutokana na maji yaliyomo ndani ya mashimo hayo. Mifumo ya asili ya kilimo ilianza kupendekezwa duniani tangu mwaka 2002.Baadhi ya nchi ambazo zimeanza kutumia mifumo hii ya asili katika kilimo ni Japan, UPhilipino,China na Ujerumani. Imeandikwa na Albano Midelo Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma Mei 18,2021

Comments
  • Fahamu kuhusu Kabila la Wamatengo 3 года назад
    Fahamu kuhusu Kabila la Wamatengo
    Опубликовано: 3 года назад
  • Подземная теплица От строительства до фруктовAn underground greenhouse. From construction to fruits. 2 года назад
    Подземная теплица От строительства до фруктовAn underground greenhouse. From construction to fruits.
    Опубликовано: 2 года назад
  • Unveiling the Future: Inside a Modern Banana Stem Processing Plant (Entire Process) 15 минут назад
    Unveiling the Future: Inside a Modern Banana Stem Processing Plant (Entire Process)
    Опубликовано: 15 минут назад
  • РЫСЬ В ДЕЛЕ... Рысь против волка, койота, змеи, оленя! 3 года назад
    РЫСЬ В ДЕЛЕ... Рысь против волка, койота, змеи, оленя!
    Опубликовано: 3 года назад
  • «Вначале лепили ее с мамой по ночам».Как предприниматель из региона строит бизнес на старых шинах. 10 месяцев назад
    «Вначале лепили ее с мамой по ночам».Как предприниматель из региона строит бизнес на старых шинах.
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • Чем опасен клен ясенелистный (американский), и как с ним бороться 2 года назад
    Чем опасен клен ясенелистный (американский), и как с ним бороться
    Опубликовано: 2 года назад
  • Kilimo cha matangi Rungwe 7 дней назад
    Kilimo cha matangi Rungwe
    Опубликовано: 7 дней назад
  • Сельскохозяйственные инструменты, изобретения и хитрости, которые вам не хотят показывать 2 месяца назад
    Сельскохозяйственные инструменты, изобретения и хитрости, которые вам не хотят показывать
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • MBINU 6 ZA KUHARAKISHA MAFANIKIO YAKO | Victor Mwambene. 1 год назад
    MBINU 6 ZA KUHARAKISHA MAFANIKIO YAKO | Victor Mwambene.
    Опубликовано: 1 год назад
  • Ntambo Land Holding - Matengo Pits in Mbinga, Tanzania 6 лет назад
    Ntambo Land Holding - Matengo Pits in Mbinga, Tanzania
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Хурма: Пища Богов | Интересные факты про хурму 1 месяц назад
    Хурма: Пища Богов | Интересные факты про хурму
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • 🔴 СРОЧНО Тимошенко опять посадят? Ночные обыски и обвинение в коррупции #новости #одиндень 21 час назад
    🔴 СРОЧНО Тимошенко опять посадят? Ночные обыски и обвинение в коррупции #новости #одиндень
    Опубликовано: 21 час назад
  • Как собирают и обрабатывают бамбук!  Растение, которое меняет мир! УНИКАЛЬНЫЕ КАДРЫ! 5 месяцев назад
    Как собирают и обрабатывают бамбук! Растение, которое меняет мир! УНИКАЛЬНЫЕ КАДРЫ!
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • КРУГЛОГОДИЧНЫЙ курятник на даче на 25 кур с автономностью 30 суток 3 года назад
    КРУГЛОГОДИЧНЫЙ курятник на даче на 25 кур с автономностью 30 суток
    Опубликовано: 3 года назад
  • 🥔 Посадка картофеля вразвал без окучивания 🌱 Выращивание по технологии Гордеевых 5 лет назад
    🥔 Посадка картофеля вразвал без окучивания 🌱 Выращивание по технологии Гордеевых
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Как Израиль построил огромную реку в пустыне, которая изменила страну 2 месяца назад
    Как Израиль построил огромную реку в пустыне, которая изменила страну
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • КАК производят конопляный бетон и волокно. Внутри крупнейшей в мире линии по переработке конопли! 3 недели назад
    КАК производят конопляный бетон и волокно. Внутри крупнейшей в мире линии по переработке конопли!
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Почему римский БЕТОН прослужит 2000 лет, а наш — умрёт через 50 лет 2 месяца назад
    Почему римский БЕТОН прослужит 2000 лет, а наш — умрёт через 50 лет
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Пресс для опилок своими руками . Часть 2 4 года назад
    Пресс для опилок своими руками . Часть 2
    Опубликовано: 4 года назад
  • 10 крупнейших ферм на Земле 🌍🚜 4 месяца назад
    10 крупнейших ферм на Земле 🌍🚜
    Опубликовано: 4 месяца назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5