У нас вы можете посмотреть бесплатно Matapeli Wa Viwanja Wakamatwa | Kila Mtu Anaye Husika Awekwe Ndani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewakamata matapeli sugu wa Ardhi wa 3 katika Wilaya ya Temeke kata ya Toangoma Jijini Dar es salaam ambao wamekuwa wakiuza maeneo kadhaa yanayomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kujipatia Mamilioni ya fedha. Amefanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao kwa kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya Jamii NSSF baada ya kuweka mtego kwa wanunuzi wa Ardhi kwa malipo ya shilingi milioni nane na kufuatia tukio hilo, amewataka wananchi kuacha kununua Ardhi chini ya Viongozi wa Serikali za mitaa sambamba na kuwazuia Wenyeviti wa Serikali za mitaa kuuza Ardhi kote nchini. #CloudsDigitalupdates