У нас вы можете посмотреть бесплатно MAOMBI KATIKA LANGO LA SAA | Mwl Lazaro Julius | 17 March, 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#mwlbenjaminabel #mwllazarojulius #keshanakristo #maombiyaasubuhi #maombiyausiku Karibu katika Maombi katika lango la saa Kukabidhi Siku kwa Mungu pamoja na Mwl Benjamin Abel. Tunakutana kila siku saa 6:00 usiku hadi saa 6:30 usiku kwa maombi maalum ya kumkabidhi Mungu siku inayofuata, maisha yetu, familia zetu na kazi zetu. Katika dakika hizi 30 tunaomba: Mungu atutangulie katika siku yetu Atufungulie milango ya baraka na mafanikio Atulinde dhidi ya mabaya na mipango ya adui Alete amani, neema na ushindi katika kila jambo Tunaamini Mungu akitangulia, siku yako itakuwa na ushindi. “Mkumbuke BWANA katika njia zako zote, naye atanyosha mapito yako.” – Methali 3:6 Jiunge nasi kila siku katika maombi ya kukabidhi siku kwa Mungu, na ushuhudie mkono wa Mungu ukitenda kazi katika maisha yako. Kwa Mawasiliano zaidi: +255 765 853 859