У нас вы можете посмотреть бесплатно Dereva asimulia jinsi alivyomuua muuaji wa Mzee Karume или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tarehe Saba ya Mwezi April ya kila mwaka ni kumbukumbizi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume ambapo mwaka huu ni Miaka Arobaini na minane tangu alipouawa. Mtumwa Saidi ametukutanisha na aliyekuwa Dereva wa Mzee Karume Hija Hassan Hija ambaye alikuwepo wakati tukio lenyewe linatokea na yeye kufanikiwa kumuua aliyemshambulia Mzee Karume. #KarumeDay #KifoChaKarume #AzamTVUpdates Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: / azamtvtz ►INSTAGRAM: / azamsports2 ►TWITTER: / azamtvtz ►FACEBOOK: / azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz