У нас вы можете посмотреть бесплатно Vuguvugu la Sifuna laikashifu serikali kwa kuvuruga mikutano yao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Viongozi wa chama cha ODM wa vuguvugu la Linda Mwananchi wameendeleza mkutano wao wa kisiasa katika Kaunti ya Kakamega licha ya juhudi wanazosema zilienedelezwa na serikali kuhakikisha mkutano huo unavurugika ikiwa ni pamoja na kurushwa kwa vitoza machozi mkutano huo ulipokuwa unaendelea. Viongozi hao wamelalamikia kuzuiwa kufika katika eneo la mkutano na kuhongwa kwa wananchi ili wapinge mkutano huo wakiapa kuendelea kupinga maovu yanayoendelezwa na serikali ikiwa ni pamoja na njama ya kuisambaratisha ODM. James Mwangi anaarifu.