У нас вы можете посмотреть бесплатно AJENTI WA BASI KAHAMA ASAKWA KWA UDANGAYIFU WA NAULI KWA ABIRIA KAMANDA AAGIZA ARUDISHE HARAKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tukio la udanganyifu limebainika katika ukaguzi wa magari yaendayo masafa marefu uliofanyika asubuhi ya leo Desemba 14, 2025 Wilayani Kahama, ambapo wakala wa gari la Kampuni ya Ruksa Classic linalofanya safari zake kati ya Kahama na Mpanda alihusishwa na kutoza nauli kinyume na utaratibu. Katika tukio hilo, wakala huyo ambaye jina lake halijafahamika, alimdanganya abiria Bi. Hellena Juma aliyekuwa akisafiri kutoka Kahama kuelekea Tunduma kwa kumtoza shilingi laki moja na elfu thelathini na tano (Sh. 135,000), kiasi kinachozidi nauli halali ya safari hiyo(Sh. 35,000). Akizungumza wakati wa ukaguzi huo, Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, SACP Butiusyo Mwambelo, amesema ametoa maelekezo kwa vyombo husika kumtafuta wakala huyo popote alipo ili achukuliwe hatua za kisheri kwa kosa la udanganyifu.