У нас вы можете посмотреть бесплатно MAREKANI YATUMA NDEGE NDANI ya IRAN KUWATAFUTA MARUBANI BAADA ya NDEGE YAO KULIPULIWA 📍USA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAREKANI YATUMA NDEGE NDANI ya IRAN KUWATAFUTA MARUBANI BAADA ya NDEGE YAO KULIPULIWA 📍USA @ONESMO SANGALALI - DAR CC; JUMA KAHEMELA Iran imetangaza kutoa zawadi kwa yeyote atakayeshiriki kumkamata rubani wa ndege ya Marekani iliyodaiwa kuangushwa na mfumo wake wa ulinzi wa anga, huku operesheni ya utafutaji ikiendelea kwa nguvu katika eneo la Kohgiluyeh na Boyer-Ahmad. Polisi wa eneo hilo wamesema kuwa rubani au rubani wawili wanaweza kuwa walitumia mtoaji wa ndege (ejection seat) kujaribu kuokoa maisha yao. Hali hii imezua hofu kubwa miongoni mwa wakazi wa mkoa huo, ambao wanashuhudia idadi kubwa ya ndege, helikopta na drones zikizunguka eneo hilo, jambo linaloongeza hofu ya mapigano na uwezekano wa kugongana kwa kijeshi. ================================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx