У нас вы можете посмотреть бесплатно Waziri Bashungwa aahidi barabara kuu ya mikoa ya kusini kurejea ndani ya saa 72 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BASHUNGWA AAHIDI SAA 72 KUREJESHA BARABARA LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaahidi wananchi wa mikoa ya kusini na pwani ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Pwani na Ruvuma kuwa barabara kuu inayorahisisha usafiri katika mikoa hiyo itakuwa tayari kwa matumizi ndani ya saa 72 kuanzia leo Mei 5, 2024. Bashungwa ameyasema hayo leo wakati wa ukaguzi wa maeneo matano yaliyoharibiwa vibaya na mafuriko yaliyotokana na mvua zinaondelea kunyesha kwenye mikoa ya kusini. Msikilize Waziri Bashungwa akieleza sababu za ukarabati huo kuhitaji saa 72. Imeandaliwa na @moseskwindi