У нас вы можете посмотреть бесплатно Ufugaji wa Kondoo wa Dorper Kenya | Jinsi ya Kulisha Dorper na Maarifa Muhimu (Sehemu ya 2) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye Ufugaji wa Kondoo wa Dorper Kenya. Hii ni Part 2 ya mfululizo wa mafunzo ya kulisha kondoo wa Dorper kwa vitendo, baada ya kutembelea shamba la Wilfred, mfugaji mwenye uzoefu wa Dorper. Katika sehemu hii ya pili, tunaendelea na mafunzo kwa kuangalia: – Jinsi ya kulisha Dorper waliokomaa (adult sheep) – Mahitaji ya lishe kwa Dorper dume (breeding ram) – Kulisha Dorper wasiokuwa na mimba – Mpangilio sahihi wa kulisha kulingana na uzito na lengo (nyama au uzalishaji) – Maarifa muhimu ya kulisha ambayo kila mfugaji wa Dorper anapaswa kujua Mafunzo haya yanakamilisha yale ya Part 1, ambayo yalilenga kulisha: – Dorper jike aliyezaa – Dorper anayenyonyesha – Mwana-kondoo hadi kufikia umri wa kuachishwa maziwa 👉 Kama bado hujatazama Part 1, ni muhimu sana uanze hapo ili uelewe mpangilio mzima wa kulisha Dorper kulingana na umri na hali ya kondoo. Video hii ni sehemu ya Safari ya Ufugaji wa Kondoo wa Dorper, safari ya kweli ya kujifunza ufugaji wa Dorper kwa vitendo, kutoka kwa wafugaji hadi shambani. 🔔 Subscribe, bonyeza like, na uwashe notifications uendelee nami katika safari hii ya kujenga Dorper kama biashara endelevu. Dorper ni biashara — na hii ni safari ya kweli. #ufugajiwadorper #DorperKenya #DorperFarming #KondooWaDorper #UfugajiWaKondoo #DorperNiBiashara #DorperKiswahili #KilimoBiashara #UfugajiKenya #DorperJourney