У нас вы можете посмотреть бесплатно MATHEMATICS: PROBABILITY (FORM 4) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#MATHEMATICS Topic ya nne kwa wanafunzi wa kidato cha nne katika somo la Mathematics, ni Probability na hii ni miongoni mwa Topic ambayo huwa maswali yake hayakosekani kwenye mitihani ya taifa. Mwalimu Majebele, ni mtaalamu aliyebobea katika hesabu na hapa anakuchambulia hatua kwa hatua Topic ya PROBABILITY. Vipindi hivi ni maalum kwa ajili yako wewe mwanafunzi, au mzazi ambaye una mtoto ambaye ni mwanafunzi, ambaye kwa sababu ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu (Covid 19) amelazimika kukaa nyumbani ikiwa ni katika kutekeleza maagizo ya serikali ya STAY AT HOME! Vipindi hivi vikitumika vizuri, vinaweza kuwa nyenzo nzuri ya kumfanya mwanafunzi akaendelea kujinoa hata bila ya uwepo wa mwalimu. Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo... JE, NA WEWE UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com OUR PLAYLIST: HABARI MPYA DAILY: http:shorturl.at/lNOZ2 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline