У нас вы можете посмотреть бесплатно Afya ya akili na usalama kidijitali na Fatma Songoro & Nadia Ahmed Gen Yas Talk-Women's Day Edition или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika toleo hili maalum la Gen Yas Talk – Women’s Day Edition, tunawaleta pamoja wanawake wawili wanaoongoza mazungumzo muhimu kuhusu ustawi wa jamii na ulimwengu wa kidigitali. Ungana na Nadia Ahmed, Clinical Psychologist, na Fatma Songoro, Cyber Lawyer, wakishare mawazo yao kuhusu afya ya akili, usalama mtandaoni, na jinsi wanawake wanavyoweza kutumia teknolojia kufungua fursa na kukua kwa kujiamini katika dunia ya kidigitali. Ikiwa inaendana na kaulimbiu ya siku ya mwanamke duniani “Give to Gain” mazungumzo haya yanaonyesha nguvu ya kuunda mazingira yenye fursa kwa wanawake na wasichana. Kwetu kuwa na mtandao bora ni zaidi ya teknolojia — ni njia ya kuwezesha ukuaji, kuunganisha watu, na kufungua fursa. Kupitia Gen Yas Talk, tunaendelea kuwa mshirika wa ukuaji na uwezeshaji wa wanawake katika safari ya kidigitali. ▶️ Tazama mazungumzo, jifunze na tupe maoni yako. #GenYasTalk #GiveToGain #SikuYaWanawakeDuniani #internationalwomensday